RAIS SAMIA AWATAKA WAZAZI IRINGA KUONGEZA KUONGEZA USIMAMIZI KATIKA MASUALA YA LISHE KWA WATOTO

Na Englibert Kayombo – WAF, Isimani, Iringa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. SAMIA SULUH HASSAN amewataka wazazi katika Mkoa wa Iringa kuongeza usimamizi katika  masuala ya lishe bora kwa watoto ili kuwa na watoto wenye afya bora pamoja na rasilimali endelevu kwa manufaa ya Taifa. RAIS SMIA amesema hayo leo akiwa Isimani